Dataset Viewer
text
string | sentences
sequence |
---|---|
Uchambuzi wa kina wa uchunguzi kwa kidijitali wa Titanic umefichua mapya kuhusu saa za mwisho za meli iliyokuwa hatarini. Mfano halisi wa 3D unaonesha vurumai za jinsi meli hiyo ilivyopasuka vipande viwili ilipozama baada ya kugonga jiwe la barafu mnamo 1912, watu 1,500 walipoteza maisha katika janga hilo. Uchambuzi unatoa mwonekano mpya wa chumba cha boiler (kifaa cha kuzalisha mvuke) n.k, kuthibitisha madai ya mashuhuda ambao wahandisi walifanya kazi hadi mwisho ili kuwasha taa za meli. Na uchunguzi wa kompyuta pia unaonesha kwamba matundu ya ukubwa wa vipande vya karatasi za A4 katika meli yenye yalichangia kuzama kwa meli hiyo. | [
"Uchambuzi wa kina wa uchunguzi kwa kidijitali wa Titanic umefichua mapya kuhusu saa za mwisho za meli iliyokuwa hatarini.",
"Mfano halisi wa 3D unaonesha vurumai za jinsi meli hiyo ilivyopasuka vipande viwili ilipozama baada ya kugonga jiwe la barafu mnamo 1912, watu 1, 500 walipoteza maisha katika janga hilo.",
"Uchambuzi unatoa mwonekano mpya wa chumba cha boiler (kifaa cha kuzalisha mvuke) n. k, kuthibitisha madai ya mashuhuda ambao wahandisi walifanya kazi hadi mwisho ili kuwasha taa za meli.",
"Na uchunguzi wa kompyuta pia unaonesha kwamba matundu ya ukubwa wa vipande vya karatasi za A4 katika meli yenye yalichangia kuzama kwa meli hiyo."
] |
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 39